Mahmoud
Ahmad Arusha
Jumuiya ya
wazazi mkoa wa Arusha leo(jana)wametoa piki piki saba kwa ajili ya watendaji wa
jumuiya hiyo katika kuhakikisha chama hicho na jumuiya hiyo wanawafikia
wananchama na wananchi kwa ujumla katika kuimarisha jumuiya na ccm kwa ujumla.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni