Afisa
Maendeleo ya jamii Mkoa wa Mbeya Ndugu Stellah Kategile akiwasilisha
maada kwa wadau wa Sekta ya Afya Mkoani Mbeya katika kikao cha kujadili
juu ya kuelekea katika siku ya maadhimisho ya Ukimwi Duniani Tarehe 1
Desemba mwaka huu.
|
Mratibu
wa kudhibiti Ukimwi Mkoani Mbeya (RACC-Regional AIDS Control Coodinator
) Dkt Francis Philly akizungumza katika kikao hicho ambacho
kimehudhuriwa na wadau mbalimbali wa masuala ya afya mkoani katika
ukumbi wa Cofee Garden jijini Mbeya
|
Mrakibu
wa Polisi Mkuu dawati la jinsi na watoto Mkoa wa mbeya Ndugu Debora
Mrema akielezea masuala mbaliimbali yanayolikumba Dawati hilo katika
kupambana na ukatili wa kijinsi Mkoani humo huku akisisitiza juu ya
wadau kujitokeza na kutoa michango yao ya kifedha sanjali na rasilimali
nyingine ili kuweza kutoa elimu kwa jamii katika maeneo mbalimbali
mkoani humo hususani maeneo ya vijijini.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni