AMANA BANK WAADHIMISHA WIKI YA WATEJA NA KILELE NI 27

Muonekana wa Benki hiyo kwa ndani ikiwa imepambwa katika muendelezo wa maadhimisho ya wiki ya wateja wa Banki ya Amana jijini Arusha
Wafanyakazi wa Amana Bank wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa wiki ya Amana inayasherekewa kila mwaka wiki kama hii na kilele kuwa Tarehe 24 kuadhimisha mwaka wa nne tangia kuanzishwa tarehe kama hiyo mwaka 2011
AmanaBank Logo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni