Katibu
Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad
akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CUF (Bara) bibi Magdalena Sakaya,
Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar) Mhe. Nassor Ahmed Mazuri, pamoja na baadhi
ya wajumbe wa baraza kuu la Uongozi CUF, mara baada ya kuwasili katika
hoteli ya Mazsons Mjini Zanzibar kwa ajili ya kuanza kikao hicho.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni