WAZIRI MKUU MAJALIWA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU MSTAAFU PINDA

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa (kushoto) akikaribishwa na mke wa Waziri Mkuu, Mstaafu Mama Tunu Pinda wakati alipowasili nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda katika kijiji cha Zuzu nje kidogo ya mji wa Dodoma kwa mazungumzo Novemba 21, 2015 . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati alipomtembelea nyumbani kwake katika kijiji cha Zuzu, nje kidogo ya mji wa Dodoma Novemba 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu,Mstaafu Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kulia) Wakati Waziri Mkuu alipomtembelea Waziri Mkuu Mstaafu, nyumbani kwake katika kijiji cha Zuzu nje kidogo ya mji wa Dodoma Novemba 22, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni