Wachezaji
 wa timu ya soka ya Panone fc wakipasha misuli moto kabla ya kuanza kwa 
mchezo wa ligi ya shirikisho inayodhaminiwana Azam.
  |  
| Wachezaji
 wa timu ya Polisi Dar wakipasha misuli moto kabla ya kuanza kwamchezo 
wa ligi ya shirikisho hidi ya Panone fc mchezo uliopigwa katika uwanja 
wa Chuo cha Ushirika. |  
 
  |  
| Kocha wa timu ya soka ya Panone fc,Atuga Manyundo akizungumza na Azam TV iliyokuwa ikirusha mchezo huo moja kwa moja. |  
 
  
  |  
| Wapiga picha wa Azam Tv wakiweka sawa mitambo yao kwa ajili ya kurusha live mchezo huo. |  
 
  |  
| Vikosi vya timu za Polisi Dar na Panone fc vikiwa tayari kuingia uwanjani. |  
 
  |  
| Vikosi vikiingia uwanjani. |  
 
  |  
| Panone fc |  
 
  |  
| Polisi Dar. |  
 
  |  
| Wachezaji wa timu hizo wakisalimiana. |  
 
  |  
| Benchi la Polisi Dar. |  
 
  |  
| Benchi la Panone fc. |  
 
  |  
| Kikosi cha Panone fc. |  
 
  |  
| Waamuzi wa mchezo uo. |  
 
 
  |  
| Camera
 maalum aina ya Drone akipiga picha za juu katika uwanja wa Ushirika 
wakati wa mchezo wa ligi ya Shirikisho kati ya Panone fc na Polisi Dar. |  
 
  |  
| Azam Tv walikuwa live kurusha mchezo huo. |  
 
  |  
| heka heka katika mchezo huo. |  
 
  |  
| Panone fc wakishangilia baada ya kupata bao la kwanza. |  
 
  |  
| Heka heka. |  
 
 
  |  
| Heka heka langoni mwa timu ya Polisi Dar. |  
 
  |  
| Wachezaji wa Polisi Dar wakishangilia mara baada ya kusawazisha bao. |  
 
  |  
| Panone fc wakifanya mabadiliko ,mchezaji Pompy akinngia. |  
 
  |  
| Baadhi ya Mashabiki waliojitokeza katika mchezo huo. |  
  |  
| Wapiga picha wa Azam Tv wakichukua matukio mbalimbali. 
 
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |  
 
 | 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni