SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA AWAMU YA TANO DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI UWANJA WA UHURU JUZI

Rais aliyemaliza muda wake wa uongozi wa miaka kumi, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia maelfu ya wananchi waliofurika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano, Dkt. John Pombe Magufuli
Rais aliyemaliza muda wake wa uongozi wa miaka kumi, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana jambo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini, Jenerali Davies Mwamunyange uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
Rais wa awamu ya nne aliyemaliza muda wake wa uongozi wa miaka kumi ya kuiongoza Tanzania kwa mafanikio, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika jukwaa maaalum kupokea salaam ya heshima ya kijeshi kabla ya kukabidhi madaraka Rais wa awamu ya tano, Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akila kiapo.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Samia Suluhu Hassan akila kiapo.
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Shein ( wa kwanza kulia ), Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tnzania, Mh Anne Makinda, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ( wa nne kutoka kulia ) na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh Mohamed Chande wakiwa jukwaa maalum kabla ya kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli
Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Makamu wake, Mh Samia Suluhu Hassan wakiwa jukwaa maalum
Rais wa awamu ya nne aliyemaliza muda wake wa uongozi wa miaka kumi ya kuiongoza Tanzania kwa mafanikio, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika jukwaa maaalum kupokea salaam ya heshima ya kijeshi kabla ya kukabidhi madaraka Rais wa awamu ya tano, Dkt. John Pombe Magufuli.

Rais wa awamu ya nne aliyemaliza muda wake wa uongozi wa miaka kumi ya kuiongoza Tanzania kwa mafanikio, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika jukwaa maaalum kupokea salaam ya heshima ya kijeshi kabla ya kukabidhi madaraka Rais wa awamu ya tano, Dkt. John Pombe Magufuli.
Sehemu ya maelfu ya wananchi waliofika kushuhudia kuwapishwa kwa Dkt. Magufuli kuwa Rais wa awamu ya tano wa Tanaznia
Rais wa awamu ya nne aliyemaliza muda wake, Dkt. Jakaya Kikwete akikagua gwaride maalum kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais wa awamu ya tano, Dkt. John Pombe Magufuli.

Marais kutoka nchi mbalimbali wakiwa jukwaa kuu kushuhudia kuapaishwa kwa Rais wa awamu ya tano, Dkt John Pombe Magufuli.
Tuchukue picha za kumbukumbu! Viongozi mbalimbali wakiwa jukwaa kuu wakifuatilia kwa karibu matukio yote wakati wa kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.
Viongozi mbalimbali wakiwa jukwaa kuu wakifuatilia kwa karibu matukio yote wakati wa kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.

                                                                                Bendera ya Rais ikipandishwa
Rais wa awamu ya nne aliyemaliza muda wake, Dkt. Jakaya Kikwete akiteremka kutoka jukwaa maalum alipokuwa akipokea heshima za kijeshi.
Rais wa awamu ya nne aliyemaliza muda wake, Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu wake Dk. Gharib Bilal. Wote wawili wamestaafu.
Rais wa awamu ya nne aliyemaliza muda wake, Dkt. Jakaya Kikwete( wa pili kutoka kulia ) akiwa na Makamu wake mstaafu, Dk. Gharib Bilal ( wa kwanza kulia ) wakiwa jukwaa maalum na Rais wa awamu ya tano, Dkt. John Pombe Magufuli na Makamu wake Mh. Samia Suluh Hassan
                                                                                        Viongozi wa dini
Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akila kiapo mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh Mohamed Chande Othman.
Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akila kiapo.
Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akila kiapo mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh Mohamed Chande Othman.
Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akila kiapo mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh Mohamed Chande Othman.
Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akila kiapo mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh Mohamed Chande Othman.
Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiweka saini mara baada ya kula kiapo mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh Mohamed Chande Othman.

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh Mohamed Chande Othman naye akiweka saini mara baada ya kumuapisha Rais wa awamu ya tano, Dkt. John Pombe Magufuli
Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akionyesha silaha za kijadi alizokabidhiwa mara baada ya kuapishwa kwenye uwanja wa Uhuru leo.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akikumbatiana kwa furaha na Rais aliyemaliza muda wake, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Samia Suluhu Hassan akila kiapo.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Samia Suluhu Hassan akiwena saini mara bada ya kula kiapo.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mh Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais mstaafu, Dk. Gharib Bilal
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mh Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Zanzibar, Dk. Shein
Spika wa Bunge la Tanzania, Mh Anne Makinda akimpongeza Makamu wa Rais Mh Samia Suluhu Hassan.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni