Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,John Mngodo (Kushoto),
akisalimiana na Maofisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Braiton Manyo
alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo yaliyopo katika mtaa wa
Lumumba,jengo la Ushirika,jijini Dar es Salaam.
Kaimu
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,ambaye pia ni
Kamishna wa Operesheni, Rogatius Kipali (kulia), akitoa maelezo mafupi
kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,John Mngodo,
alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo yaliyopo katika mtaa wa
Lumumba,jengo la Ushirika,jijini Dar es Salaam.
Kaimu
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,ambaye pia ni
Kamishna wa Operesheni, Rogatius Kipali (kulia), akimkabidhi Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, taarifa ya
ujenzi la Jengo laa linalotarajiwa kuwa Makao Makuu ya Jeshi hilo,
alipotembelea Ofisi za Jeshi hilo zilizoko TAZARA ,jijini Dar es Salaam.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni