Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa
Shirika la Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akipanda mti
kama ishara ya uhifadhi mazingira baada ya kuzindua mradi wa kupunguza
na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia nishati jadidifu
ya jua (Mitigating Climate change in vulnerable communities of Dodoma
region, Machali village, Chamwino District), katika Kijiji cha Machali
A, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma katika utekelezaji wa moja kati ya
malengo ya maendeleo endelevu (SDGs).
Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa
Shirika la Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akimwagilia maji
kama ishara ya uhifadhi mazingira baada ya kuzindua mradi wa kupunguza
na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia nishati jadidifu
ya jua (Mitigating Climate change in vulnerable communities of Dodoma
region, Machali village, Chamwino District), katika Kijiji cha Machali
A, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma katika utekelezaji wa moja kati ya
malengo ya maendeleo endelevu (SDGs).
Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa
Shirika la Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez pamoja na
Mkurugenzi Mkazi wa UNDP, Awa Dabo (kulia) wakieleka kukagua mradi wa
ufugaji wa shirika la Tanzania Environmental Friendly Association (TEFA)
huku wakiburudishwa na ngoma ya wenyeji wa kabila wa Kigogo, katika
Kijiji cha Machali A, wilaya ya Chamwino mkoa wa Dodoma katika
utekelezaji wa moja kati ya malengo ya maendeleo endelevu (SDGs).
Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la
Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akimtwisha ndoo ya maji
mkazi wa Kijiji cha Machali A wilayani Chamwino mkoa wa Dodoma, Zena
Mwalko baada ya kuzindua
mradi wa kupunguza na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia
nishati jadidifu ya jua (Mitigating Climate change in vulnerable
communities of Dodoma region, Machali village, Chamwino District),
katika Kijiji cha Machali A, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Mkazi wa UNDP, Awa Dabo.
Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa
Shirika la Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akiwa kwenye
picha ya pamoja na wanakikundi cha ngoma cha Kijiji cha Machali A,
wilayani Chamwino mkoa wa Dodoma wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa
kupunguza na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia nishati
jadidifu ya jua (Mitigating Climate change in vulnerable communities of
Dodoma region, Machali village, Chamwino District), katika Kijiji cha
Machali A, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma. Kushoto ni
Mkurugenzi Mkazi wa UNDP, Awa Dabo.
Mkurugenzi Mkazi wa UNDP, Awa Dabo.
Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa
Shirika la Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akizungumza na
wananchi wa Kijiji cha Machali A, wilayani Chamwino mkoa wa Dodoma
wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa kupunguza na kukabiliana na
mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia nishati jadidifu ya jua (Mitigating
Climate change in vulnerable communities of Dodoma region, Machali
village, Chamwino District), kijijini humo. Kutoka kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkazi wa UNDP, Awa Dabo na Mwakilishi Msaidizi wa Shirika la UNFPA, Dk. Hashina Begum.
Mkurugenzi Mkazi wa UNDP, Awa Dabo akiwa amebeba ndoo ya maji baada ya uzinduzi wa mradi
wa kupunguza na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia
nishati jadidifu ya jua (Mitigating Climate change in vulnerable
communities of Dodoma region, Machali village, Chamwino District),
katika kijiji cha Machali A wilayani Chamwino mkoa wa Dodoma
huku Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na
Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez
pamoja na wanakijiji wakishuhudia tukio hilo.
Mkurugenzi Mkazi wa UNDP, Awa Dabo akipanda mti kama
ishara ya uhifadhi mazingira baada ya kuzindua mradi wa kupunguza na
kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia nishati jadidifu ya
jua (Mitigating Climate change in vulnerable communities of Dodoma
region, Machali village, Chamwino District), katika Kijiji cha Machali
A, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma.
Mwakilishi Msaidizi wa Shirika la UNFPA, Dk. Hashina Begum akimwagilia maji mti kama ishara ya kutunza mazingira baada ya uzinduzi wa wa
kupunguza na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia nishati
jadidifu ya jua (Mitigating Climate change in vulnerable communities of
Dodoma region, Machali village, Chamwino District), katika Kijiji cha
Machali A, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma.
Mratibu wa Mradi wa
kupunguza na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia nishati
jadidifu ya jua (Mitigating Climate change in vulnerable communities of
Dodoma region, Machali village, Chamwino District) kutoka Shirika la
Tanzania Environmental Friendly Association (TEFA), Yohana Kadiva
akimwagilia maji mti kama ishara ya kutunza mazingira baada ya uzinduzi
wa mradi huo unaofadhiliwa na Umoja wa Mataifa kupitia Shirika lake la
Mpango wa Maendeleo (UNDP).
Wanakikundi
cha ngoma ya asili katika kijiji cha Machali A wilayani Chamwino mkoa
wa Dodoma wakiburudisha wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi huo.
Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa
Shirika la Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akizindua mradi
wa kupunguza
na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia nishati jadidifu
ya jua (Mitigating Climate change in vulnerable communities of Dodoma
region, Machali village, Chamwino District), kijijini humo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni