HAFLA YA MCHAPALO (COCKTAIL PARTY) WA KUSHEREHEHEA KUAPISHWA KWA RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi usiku kwa ajili ya mchapalo maalum ulioandaliwa na Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli kusherehekea kupishwa kwake
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Sheim
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akifuatiwa na mkewe Mama Janet Magufuli
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan kifuatiwa na mkewe Mama Janet Magufuli
  Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mama Hadija Mwinyi akifuatiwa na mkewe Mama Janet Magufuli
  Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mama Sitti Mwinyi akifuatiwa na mkewe Mama Janet Magufuli
  Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mama Salma Kikwete akifuatiwa na mkewe Mama Janet Magufuli
  Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mama Asha Suleiman Iddi akifuatiwa na mkewe Mama Janet Magufuli
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli na viongozi wengine wakiwa hema kuu
                            Mama Janet Magufuli akisalimiana na Mhe Makongoro Nyerere
 Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mhe Makongoro Nyerere
 Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makongoro Nyerere
 Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete
 Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akienda kusalimiana na wageni wake
  Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wageni wake
 Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Mtera Mteule Mhe Livingstone Lusinde
  Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wageni wake
  Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wageni wake
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kusalimiana na wageni wake...

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni