Mwenyekiti
 wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akiwa ameongozana na Mkurugenzi 
Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Geleard Masenga wakati 
alipowasili katika ofisi ya Mkurugenzi  huyo mwishoni mwa wiki.
 Mwenyekiti
 wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akisalimiana na Askofu mteule wa
 Kanisa la Kiinjili la Kilutheria (KKKT) Tanzania ,Dkt Fredrick Shoo 
alipowasili katika ofisi ya Mkurugenzi wa hosptali ya rufaa ya KCMC 
.(kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hopstali hiyo,Dkt Gileard Masenga.
 Mwenyekiti
 wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akiteta jambo na Askofu Mteule 
wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheria (KKKT) Tanzania ,Dkt Fredrick Shoo .
 Mwenyekiti
 wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akipeana mikono na Mkurugenzi 
mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC ,Dkt Gileard Masenga mara baada 
ya kutamburishwa kuwa ndiye mtendaji mkuu wa hospitali hiyo kwa sasa.
 Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akizungumza jambo mara baada ya utamburisho wa mkurugenzi huyo.
 Mkurugenzi
 Mtendaji wa Hopstali ya Rufaa ya KCMC ,Dkt Gileard Masenga akizungumza 
jambo mbele ya Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi (hayupo
 pichani).
 Dkt Mengi akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC.
 Mkurugenzi
 mkuu wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Giliard Masenga akizungumza 
kuhusu ujenzi wa ngazi kuu za kungilia wodini katika hosptali ya Rufaa 
ya KCMC ambazo ujenzi wake uligharimu kiasi cha sh Mil 30 ,Fedha ambazo 
zilitolewa na Dkt Mengi.
 Askofu
 Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheria ,(KKKT) Dkt Freedrick Shoo 
akisoma taarifa ya Hosptali hiyo katika hafla fupi ya uzinduzi wa ngazi 
kuu za kuingilia wodini katika hosptali ya rufaa ya KCMC ,ujenzi 
uliofadhiliwa na Dkt Mengi.
 Askofu
 Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheria ,(KKKT) Dkt Freedrick Shoo 
akimkabidhi Dkt Mengi taarifa ya Hosptali hiyo wakati wa hafla fupi ya 
uzinduzi wa ngazi kuu za kuingilia wodini katika hosptali ya rufaa ya 
KCMC ,ujenzi uliofadhiliwa na Dkt Mengi.
 Mwenyekiti
 wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akikata utepe kuashiria uzinduzi
 rasmi wa matumizi ya ngazi kuu za kuingilia wodini katika hospitali 
hiyo.
 Baadhi ya wananchi walioshuhudia tukio hilo.
 Mwenyekiti
 mtendaji wa Makampuni ya IPP,Dkt  Reginald Mengi akiongozana na 
Mkurugenzi mtendaji wa Hopstali ya Rufaa ya KCMC wakipita katika ngazi 
kuu zilizofanyiwa ukarabati hii karibuni.
 Dkt
 Mengi akitizama baadhi ya maeneo katik awodi za hospitali ya rufaa ya 
KCMC ambayo miundo mbinu ya maji pamona na vyoo imekuwa chakavu.
 Sehemu ya maeneo ambayo yameathirika na uchakau wa miundo mbinu ya maji.
 Dkt Mengi akisalimiana na mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hosptali ya Rufaa ya KCMC.
 Mkurugenzi
 mtendaji wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Giliard Masenga akimuonesha 
Dkt Mengi  maeneo mbali ya hosptali hiyo ambayo upanuzi umeanza 
kufanyika kama sehemu ya kuboresha huduma ya afya.
 Dkt Mengi akiaga mara baada ya kutembelea hospitali ya rufaa ya KCMC pamoja na kuzindua ngazi kuu za kuingilia wodini.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni