Ubomoaji
wa nyumba zilizopo kwenye maeneo ya wazi zikiendelea kubomolewa na
manispaa ya Kinondoni pamoja na Wizara ya Ardhi nyumba na maendeleo ya
makazi.
Wananchi okota madafu mara baada ya kari la kubomoa kuangusha mnazi maeneo ya Basihaya Bunju jijini Dar es Salaam.
Wananchi wakishuhudia bomoa bomoa ya manispaa ya Kinondoni.
Mwenye nyumba atoa bati za nyumba iliyo eneo la wazi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni