Moja ya tamasha kubwa la mitindo ya
mavazi Afrika, tamasha la Fima nchini Niger limesitishwa kufanyika
kufuatia hofu ya usalama, waandaaji wa tamasha hilo wameeleza.
Uamuzi huo unafuatia mashambulizi ya
hivi karibuni ya Jijini Paris na nchini Mali ambapo watu 22 waliuwawa
katika hoteli ya kifahari wiki iliyopita.
Tamasha la Fima lilitarajiwa
kuhudhuriwa na wabunifu 1,000, mamodo pamoja na watu maarufu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni