Balozi
mstafu wa Tanzania Nchini India ambaye pia ni mwalimu katika chuo cha
diplomasia Balozi Ahmed Kiwanuka akitoa mhuadhara elo kuhusu namna
Tanzania inavyoweza kutekeleza diplomasia ya uchumi kupitia ekta
mbalimbali na kwa kutumia makundi mbalimbali
Allan
Kasamala(mwenye shati ya bluu) akiwa na Baadhi ya washiriki walioshiriki
kongamano hilo ambalo limeandaliwa na Wanafunzi,wahitimu na marafiki wa
chuo cha diplomasia leo katka ukumbi wa chuo hicho kilichopo kurasini
jijini Dar es Salaam ambapo kongamano hilo limeandaliwa na uongozi wa
serikali ya wanafunzi wakishirikiana na wahitimu wa Kozi mbalimbali za
mwaka wa masomo 2014/2015 wakiongozwa na Simalenga Simon amaye amemaliza
PGD MFR 2014/2015.
Washiriki wa kongamano hilo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni