RAIS ABDUL FATTAH AL-SISI AMETETEA SHERIA KALI ZA MISRI

Rais Abdul Fattah al-Sisi ametetea sheria kali za Misri za kukamata wapinzani wenye misimamo mikali akisisitiza kwa nchi hiyo ipo katika njia ya kuelekea katika demokrasia.

Sisi anayetarajiwa kwenda Uingereza, ameviambia vyombo vya habari kuwa Misri inatishiwa na vikundi vyenye itikadi kali na inahofia kuanguka kwa utawala kulikoathiri majirani zake.

Rais Sisi amesema hali ya Misri inahitaji sheria kali ili kudhibiti kutokea machafuko kwa kuwa ni tofauti na hali ya Ulaya.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni