Mwenyekiti
wa Jumuiko la Maliasili nchini (TNRF) ,Dr.Suma Kaare akizungumza katika
mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa
na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya
maliasili.Picha na Gadiola Emmanuel
Mkurugenzi wa Shirika la Haki kazi Catalyst Alais Moridant akifafanua
jambo katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na
kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka
wizara ya maliasili.Picha na Gadiola Emmanuel
Mkurugenzi
wa Shirika la AWF ,John Salehe akifafanua jambo katika mkutano wa 7 wa
jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika
binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.Picha na
Gadiola Emmanuel
Washiriki
wa mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini Arusha na
kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya
maliasili.Picha na Gadiola Emmanuel
Viongozi
mbalimbali wa jumuiko la maliasili wakiwa katika mkutano wa 7 wa
jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika
binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.Picha na
Gadiola Emmanuel
Washiriki
wa mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini Arusha
wakiwa katika picha ya pamoja, ,mkutano huo ulihudhuriwa na mashirika
binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.Picha na
Gadiola Emmanuel wizara ya maliasili.Picha na Gadiola Emmanuel
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni