Wananchi
wakipigana vikumbo wakati walipokuwa wakishuka katika MV. Kigamboni na
huku wengine wakiingia kwa kuhofia kubaki baada kwa wingi wa watu.
Wakishuka wananchi.
Wananchi waliokuwa
wakisubiri kuingia katika MV. Kigamboni huku wakiwa na Baiskeli zao
ambapo kwa wenye Magari wameambiwa wapite Darajani au mwenyekuweza apaki
avuke.
Kigamboni ikiwa inashusha upande wa Kigamboni.
MV. Kigamboni ikiwa inashusha upande wa Kigamboni.
MV. Kigamboni ikiwa inshusha upande wa Kigamboni.
Taswira katika muonekano wa MV. Magogoni na MV. Kigamboni.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni