Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akigonga kengelle kuashiria uzinduzi wa
ununuzi wa hisa za Benki ya Walimu- MCB kwenye soko la hisa la Dar es
salaam. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es salaam Novemba 27, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua uuzaji wa
hisa za Benki ya Walimu MCB kwenye soko la hisa la Dar es salaam,
uliofanyika jijini Dar es salaam Novemba 27, 2015. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akiteta na baadhi ya Viongozi wa Benki
ya Walimu- MCB baada ya kuzindua uuzaji wa hisa za Benki hiyo katika
soko la hisa la Dar es salaam. Uzinduzi huo uliyofanyika jijini Dar es
salaam Novemba 27, 2015 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu,Majaliwa Kassim Majlaiwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya
Fedha Dkt. Servacius Likwelile baada ya kuzindua mpango wa Benki ya
Walimu MCB – MCB kuanza kuuza hisa zake kwenye soko la hisa la Dar es
salaam Novemba 27, 2015. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dares
salaam.3065 (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni