RAIS WA VIETNAM ATEMBELEA KAMPUNI YA SIMU YA HALOTEL
posted on
Rais
wa Vietnam, Mhe. Truong Tang San akizungumza na viongozi wa Kampuni ya
Simu za mikononi kutoka nchini Vietnam ya Halotel inayofanya kazi hapa
nchini Tanzania. Kampuni hiyo inatoa huduma ya simu Vijijini kwa gharama
nafuu. Rais Truong Tang San anatarajiwa kumaliza ziara yake ya siku nne
hapo kesho na kuelekea nchini Msumbiji kwa ajili ya ziara nchini humo
Viongozi
mbalimbali walioambatana na Rais Truong Tang San, wakiwa pamoja na
Balozi wa Vietnam, Mhe. Vothanh Nam (katikati) wakisikiliza kwa makini
mazungumzo aliyokuwa yakiendelea kati ya Rais Tang San (hayupo pichani)
na viongozi wa Kampuni ya simu ya Halotel
Rais Truong Tang San akizindua Sanamu ya kiongozi wa zamani wa Vietnam iliyopo kwenye Kampuni ya Simu ya Halotel.
Viongozi wa Halotel na Viongozi walioambatana na Rais Tang San (hayupo pichani) wakishangilia wakati uzinduzi ukiendelea.
Rais Truong Tang San akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kampuni ya simu ya Halotel.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni