Kimbunga kinachoambatana na mvua
kiitwacho Katie kimesababisha usumbufu kwa usafiri wa barabarani,
usafiri wa treni na wa ndege baada ya kuikumba Uingereza kikiwa na
kasi ya 105mph.
Watu waliokuwa wanarejea kutoka nchi
za nje walijikuta wakikabiliwa na hali ya hofu katika uwanja wa ndege
wa Gatwick na Heathrow, wakati marubani wakipata wakati mgumu kutua
na kwa wale walio majumbani kuta za nyumba na miti ilianguka.
Ndege ndogo ikiwa imepinduliwa na upepo wa kimbunga Katie
Mti ukiwa umeangukia gari katika moja ya eneo nchini Tonbridge, Kent
Gari likiwa limezolewa nje ya barabara na kimbunga Katie
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni