wageni
wa alikwa wakiwa wanashangilia ndani ya kiota kipya cha BATA VILA
LOUNGE kilichopo sakina jijini Arusha wanakwambia apa ni fuluuuu Bata
kwa kwenda mbele
ulikuwa ni usiku wa staree tu ndani ya bata vila loungle sakina wanakuambia njoo usikilize mziki laini na wa kistaarabu
chezea mtu na shemeji yake wewe nao walikuwa wanapata raha ndani ya ukumbi mpya wa bata vila sakina ni shidaaaaaaaaaaaaaa
BATA VILA lounge utakutana na wadada wa kila aina wadada watanashati wadada wa ukweli na wanawake wote wa nguvu
walikutana pia waliokuwa awajaonana
mda mrefu ndani ya ukumbi huu wanakwambia staree ni mpaka ukimbie
mwenyewe ni kuanzia jumatatu hadi jumatatu
mkurugenzi wa Libeneke la kaskazini blog kati kati woinde shizza akiwa na wadau ndani ya Bata Vila Lounge kwa sasa hivi ndio habari ya A-Town ni shida
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni