Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,(TCAA) Hamza Johari,
(wapili kushoto) akiwa na maofisa wa Ubalozi wa Kuwait hapa nchini
kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar
es alaam wakimsubiria Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan aliyewasili nchini kwa ajili ya kusaini
makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,(TCAA) Hamza Johari
(Kushoto)akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan ,mara baada ya kuwasili kwenye uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam
leo,Kwa ajili ya kusaini makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania
na Kuwait.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,(TCAA) Hamza Johari,
(wapili kushoto) akiwa kwenye gari pamoja na wageni wake kushoto ni
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait ,Mhandisi Yousef Al
Fozan na Kulia ni Ofisa Mwandamizi wa Ubalozi wa Kuwait Nchini, Mohamed
Rashid Alamiri, mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es alaam leo,Kwa ajili ya
kusaini makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,(TCAA) Hamza Johari,
(wapili kushoto) akiwa na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usafiri wa Anga Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan, wakati alipowasili
kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar
es alaam kwa ajili ya kusaini makubaliano ya safari za Anga baina ya
Tanzania na Kuwait.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan
,(Kulia) akimfafanulia jambo Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa
Anga Tanzania,(TCAA) Hamza Johari, kuhusiana na usafiri wa Anga mara
baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
(JNIA) jijini Dar es alaam leo,Kwa ajili ya kusaini makubaliano ya
safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni