Rais
wa Vietinam, Truong Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hanh wakiwapungia
wananchi huku wakiongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuelekea
kwenye ndege yao kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam wakati walipoondoka nchini Machi11, 2016. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Rais
wa Vietinam, Truong Tan Sang akiagana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam wakati
alipoondoka nchini Machi 11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais
wa Vietinam, Truong Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hanh wakiagana na
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuelekea kwenye ndege yao kwenye uwanja wa
ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam wakati walipoondoka nchini
Machi11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mpiga
picha aliyeambatana na Rais wa Vietinam katika ziara yake nchini
akicheza ngoma kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam kabla ya kuondoka nchini kwa Rais wake , Truong Tan Sang, Machi
11, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni