Balozi
 Seif Ali Iddi  akipeana mkono  wa hongera na Mkewe Mama Asha Suleiman 
Iddi kabla Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali 
Mohamed Shein kumuapisha kuwa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar     
katika hafla   iliyofanyika  Ikulu Mjini Zanzibar.
Makamo
 wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi  akipeana mkono  wa 
hongera Spika wa Baraza la Wawakilishi  Mhe,Zubeir Ali Maulid baada ya 
kuapishwa kushika nafasi hiyo   Ikulu Mjini Zanzibar.
Spika 
wa Baraza la Wawakilishi  Mhe,Zubeir Ali Maulid akiwa na Jaji Mkuu wa 
Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu (kushoto) wakati wa  kuapishwa Makamo 
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kushika nafasi hiyo 
  Ikulu Mjini Zanzibar.
Makamo
 wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipitia hati ya kiapo
 kabla ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali 
Mohamed Shein kumuapisha rasmi kushika nafasi hiyo aliyomteuwa,hafla ya 
kiapo ilifanyika  Ikulu Mjini Zanzibar(kushoto) Mkewe Mama Asha 
Suleiman Iddi.
Washauri
 wa Rais wa Zanzibar wa mambo mbali  mbali ni miongoni mwa Viongozi 
waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Makamo wa Pili wa Rais wa 
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi  katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Mjini 
Unguja.
Balozi
 Seif Ali Iddi  akielekea sehemu ya kula kiapo  kuwa Makamo wa Pili wa 
Rais wa Zanzibar  alipoapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa 
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika hafla   iliyofanyika 
 Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais 
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akimuapisha  Balozi Seif Ali Iddi   kuwa Makamo wa Pili wa Rais wa 
Zanzibar  katika hafla   iliyofanyika  Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais 
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
(kushoto) akibadilishana mawazo na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar 
Balozi Seif Ali Iddi baada ya kumuapisha rasmi  katika ukumbi wa 
Ikulu Mjini Unguja.
Mwanasheria
 Mkuu wa zanzibar Mhe,Said Hassan Said (kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar 
Mhe,Omar Othman Makungu (katikati) na Spika wa Baraza la Wawakilishi  
Mhe,Zubeir Ali Maulid  wakiwa katika hafla ya  kuapishwa Makamo wa Pili 
wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kushika nafasi hiyo   Ikulu 
Mjini Zanzibar.
Makamo
 wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi(kushoto) akiwa na 
Viongozi waliohudhuria kuapishwa kwake ,(wa pili kushoto) Katibu Mkuu
 Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee,Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh 
Omar Kabi na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi.
Rais 
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
(katikati)  akiwa katika picha ya pamoja na  Makamo wa Pili wa Rais wa 
Zanzibar  Balozi Seif Ali Iddi  na  Mama Asha Suleiman Iddi baada ya   
kumuapisha  Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar   katika hafla   
iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar,(Picha na Ikulu.]











Hakuna maoni:
Chapisha Maoni