Kocha
 wa timu ya taifa ya riadha Fracis John (kulia) akiwa na wanariadha 
wanaounda timu ya taifa ya riadha wakitizama msaada wa Track Suit 
ulitolewa na GSM Foundation kwa ajili ya wanariadha hao. 
 Rais
 wa Shirikisho la riadha Tanzania (RT) Anthony Mtaka akitizama msaada wa
 track suit zilizotolewa na kampuni ya GSM Foundation. 
 Rais wa Shirikisho la riadha Tanzania ,Anthony Mtaka akikabidhi msaada wa track Suit zilizotolewa na GSM Foundation . 


 
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni