Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Joseph Magufuli akiongeza na uongozi wa juu wa Benki Kuu pamoja na
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango na Katibu Mkuu wake Dkt.
Servacius Likwelile alikofanya ziara ya kushtukiza makao makuu ya BOT
jijini Dar es salaam leo Machi 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Joseph Magufuli akiongea jambo na Gavana wa Benki Kuu Profesa Benno
Ndulu alipokutana na kuongea na uongozi wa juu wa Benki Kuu pamoja na
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango (kushoto) na Katibu Mkuu
wake Dkt. Servacius Likwelile alikofanya ziara ya kushtukiza makao makuu
ya BOT jijini Dar es salaam leo Machi 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Joseph Magufuli akiaga baada ya kukutana na kuongea na uongozi wa juu wa
Benki Kuu pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango
(kushoto) na Katibu Mkuu wake Dkt. Servacius Likwelile alikofanya ziara
ya kushtukiza makao makuu ya BOT jijini Dar es salaam leo Machi 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akiaga baada ya kukutana na kuongea na uongozi wa juu wa Benki
Kuu pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango (kushoto) na
Katibu Mkuu wake Dkt. Servacius Likwelile alikofanya ziara ya
kushtukiza makao makuu ya BOT jijini Dar es salaam leo Machi 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akiaga baada ya kukutana na kuongea na uongozi wa juu wa Benki
Kuu pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango (kushoto) na
Katibu Mkuu wake Dkt. Servacius Likwelile alikofanya ziara ya
kushtukiza makao makuu ya BOT jijini Dar es salaam leo Machi 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Joseph Magufuli akiongozana kutoka nje Gavana wa Benki Kuu Profesa Benno
Ndulu alipokutana na kuongea na uongozi wa juu wa Benki Kuu pamoja na
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango na Katibu Mkuu wake Dkt.
Servacius Likwelile alikofanya ziara ya kushtukiza makao makuu ya BOT
jijini Dar es salaam leo Machi 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Joseph Magufuli akiagana na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango
baada ya kufanya ziara ya kushtukiza makao makuu ya BOT jijini Dar es
salaam leo Machi 10, 2016 Kushoto ni Gavana wa Benki Kuu Profesa Benno
Ndulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akiwa kaongozana na Naibu Gavana wa BOT Dkt Natu Mwamba
akiwasili makao makuu ya Benki Kuu ya Tanzania alikofanya ziara ya
kushtukiza leo Machi 10, 2016
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni