Mwanariadha
wa Tanzania ,Alphonce Felix akirejea nchini akitokea nchini Japan
kushiriki mashindano ya marathoni yajulikanayo kama Lake Biwa ambapo
alifanikiwa kushika nafasi ya tatu akitumia muda wa saa 2:O9:19.
Mwanariadha
wa Tanzania ,Alphonce Felix akisalimiana na mdau wa riadha ,Whileam
Gidabuday aliporejea nchini akitokea nchini Japan kushiriki mashindano
ya marathoni yajulikanayo kama Lake Biwa ambapo alifanikiwa kushika
nafasi ya tatu akitumia muda wa saa 2:O9:19.
Mwanariadha
wa Tanzania ,Alphonce Felix (katikati) akiwa na kocha wa timu ya taifa
ya riadha Francis John waliporejea nchini wakitokea nchini Japan
kushiriki mashindano ya marathoni yajulikanayo kama Lake Biwa ambapo
alifanikiwa kushika nafasi ya tatu.
Mwanariadha
wa Tanzania ,Alphonce Felix akimkabidhi rais wa shirikisho la riadha
Tanzania (RT) Anthony Mtaka ngao ya ushindi wa nafasi ya tatu aliyopata
katika mashindano ya Lake Biwa Marathon yaliyofanyika nchini Japan.
Wanariadha
wa timu ya taifa ya riadha wakiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa
tatu wa mbio za marathoni za Lake Biwa .Alphonce Felix.
Wanariadha
wa timu ya taifa ya riadha wakiwa katika picha ya pamoja na Rais wa
shirikisho la Riadha Tanzania ,Anthony Mtaka pamoja na mshindi wa tatu
wa mbio za marathoni za Lake Biwa .Alphonce Felix.
Mwanariadha
wa Tanzania ,Alphonce Felix akionesha zawadi aliyopewa baada ya kushika
nafasi ya tatu katika mashindano ya Lake Biwa Marathon ambapo
alifanikiwa kushika nafasi ya tatu akitumia muda wa saa 2:O9:19.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni