Kocha Rafa Benitez ametinga Newcastle jana kwa mkwara akiwa
kocha mpya wa timu hiyo kwa kuitisha mazoezi ya ghafla pamoja na
wachezaji.
Wachezaji wa Newcastle waliokuwa katika mapumziko waliitwa mara tu baada ya Benitez kuingia mkataba wa kuinoa klabu hiyo na kufanya nao mazoezi kwa muda wa dakika 90.
Beki wa Newcastle Steven Taylor akituliza mpira wakati wa mazoezi

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni