Meneja
 mauzo kampuni ya Jumbo Camera House Ltd, Mathias Luoga akizungumza na 
wadau mbalimbali wa Kamera pamoja na waandishi wa habari jijini Dar es 
Salaam leo wakati wa uzinduzi wa duka la kampuni ya 
Jumbo Camera House Ltd linalouza kamera za picha za mnato, picha za 
mjongeo, mabegi na vitu mbalimbali vya kamera, duka lililopo jengo la 
Benjamini Mkapa Tower Posta jijini Dar es Salaam.
 Muonekano wa duka la kampuni ya Jumbo Camera House Ltd linalouza 
linalouza kamera za picha za mnato, picha za mjongeo, mabegi na vitu mbalimbali vya kamera.
linalouza kamera za picha za mnato, picha za mjongeo, mabegi na vitu mbalimbali vya kamera.
Mkurugenzi Mtendaji, Paul Buckendahl akizungumza wakati wa uzinduzi wa duka la kampuni ya Jumbo Camera House Ltd linalouza
 kamera za picha za mnato, picha za mjongeo, mabegi na vitu mbalimbali 
vya kamera duka lililopo katika jengo la Benjamini Mkapa Tower Posta 
jijini Dar es Salaam.Kushoto ni  Meneja mauzo kampuni ya Jumbo Camera House Ltd, Mathias Luoga.
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Jumbo Camera House Ltd, Sara Filikunjombe(wa kwanza kulia)
 akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali leo katika uzinduzi wa
 Duka la Kamera katika jengo la Benjamin Mkapa Tower jijini Dar es 
Salaam leo.
 Mgeni Rasmi, Lita Paulsen (wakwanza kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni
 ya Jumbo Camera House Ltd wakifungua  shampaini katika hafla ya 
uzinduzi wa duka la kamera lililopo katika jengo la Benjamini Mkapa 
Tower Posta jijini Dar es Salaam leo. 
Mgeni Rasmi, Lita Paulsen (wakwanza kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Jumbo Camera House Ltd wakigonganisha glasi za shampeni katika uzinduzi wa  duka la kamera lililopo katika jengo la Benjamini Mkapa Tower Posta jijini Dar es Salaam leo.
Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii. 







Hakuna maoni:
Chapisha Maoni