| MABONDIA PIUS KAZAULA WA PILI KUSHOTO AKIWA NA MPINZANI WAKE SEBA TEMBA | 
| REFARII WA MPAMBANO WA MASUMBWI SAID CHAKU AKIWAINUA MIKONO JUU MAONDIA PIUS KAZAULA KUSHOTO NA SEBA TEMBA BAADA YA MPAMBANO WAO KUMALIZIKA KWA DROO | 
Bondia
 mohamed Matumla kushoto akioneshana uwezo wa kutupiana makonde na 
Cosmas Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili ya pasaka 
katika uwanja wa ndani wa taifa mpambano uho ulisha kwa droo  
Mabondia
 Mada Maugo kioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Abdallah Pazi 
wakai wa mpambano wao Pazi alishinda kwa T.K.O ya raundi ya tatu wakati 
wa mpambano wao uliofanyika uwanja wa ndani wa Taifa  
Mabondia
 Nassibu Ramadhani kushoto akionshana umwamba wa kutupiana makonde na 
Fransic Miyeyusho wakati wa mpambano wao wa raundi nane uliofanyika 
katika uwanja wa ndani wa taifa siku ya jumapili ya psaka mpambano uho 
ulisha kwa maamuzi ya droo 
------------------------------
MASHABIKI
 wapata burudani mashabiki waliofika uwanja wa ndani wa taifa kulikokuwa
 kunafanyika mchezo wa masumbwi wametoka na furaha tele baada ya 
kushuhudia mapambano waliyokuwa wakiyasubili kwa hamu kubwa hapa nchini.
Akizungumza
 baada ya kumalizika mpambano uho mratibu wa mapambano hayo Rajabu 
Mhamili 'Super D' amesema mashabiki wamefurahia mapambano ambayo karibia
 yote yalimalizika kwa droo
Akitaja matokeo ya mapambano hayo amesema bondia Abdallah Pazi 
'Dulla Mbabe' alimsambaratisha bondia Mada Maugo kwa T.K.O ya raundi ya 
tatu wakati Mohamedi Matumla na Cosmas Cheka waritoka droo wakati Pius Kazaula alitoa Droo na Seba Temba.
Mpambano
 mwingine mkali uliokuwa ukisubiliwa kwa hamu na mashabiki wa ngumi 
nchini. Kati ya bondia Nassibu Ramadhani na Francis  Miyeyusho nao pia 
umemalizika kwa sare.
Wakati huo huo mabondia Mfaume Mfaume na Ramadhani Shauri wanatarajia 
kusaini mkataba wa kuzipiga siku y mei mosi katika uwanja huo huo  wa 
taifa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni