Mratibu
 wa Mashindano ya Mbio za Magari ya Vaisakh Rally 2016 ,Faheem Aloo 
akiwa na Mwenyekiti wa matukio wa klabu ya Kilimanjaro Motorspot ,Juma 
Shaaban. 
 
 Mratibu
 wa Mashindano ya Mbio za Magari ya Vaisakh Rally 2016 ,Faheem 
Alooakizungumza na waandishi wa habari (hawako pichani ) kuhusu 
maandalizi ya Mbio za Vaisakh Rally 2016 zinazofanyika Jumapili hii 
katika viwanja vya KIA.
 
  

 Mkuu wa Usalama wa Kampuni ya Security Group (SGA) Absolom Jailo 
akizungumza namna ambavyo kampuni hiyo imejipanga kuimarisha ulinzi 
katika mshindano hayo.
 
 Mkuu
 wa Huduma ya Kwanza katika mashindano hayo Dkt Akshay Prataap akieleza 
namna walivyojipanga kutoa huduma ya kwanza endapo kutatokea tatizo kwa 
madereva wanaoshiriki mbio hizo. 
 
 Zawadi kwa washindi. 
 
 Hari Singh Rally Team ni moja ya madereva walioingiza gari mpya aina ya Subaru za mwaka 2015 katika mashindano hayo. 
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni