Mratibu
 wa Mashindano ya Mbio za Magari ya Vaisakh Rally 2016 ,Faheem Aloo 
akiwa na Mwenyekiti wa matukio wa klabu ya Kilimanjaro Motorspot ,Juma 
Shaaban.
Mratibu
 wa Mashindano ya Mbio za Magari ya Vaisakh Rally 2016 ,Faheem 
Alooakizungumza na waandishi wa habari (hawako pichani ) kuhusu 
maandalizi ya Mbio za Vaisakh Rally 2016 zinazofanyika Jumapili hii 
katika viwanja vya KIA.
Zawadi kwa washindi.
Hari Singh Rally Team ni moja ya madereva walioingiza gari mpya aina ya Subaru za mwaka 2015 katika mashindano hayo.
Jamil Khan ataongoza team Evolution katika mashindano hayo.
Raia
 wa Italiano Piero Canobbio ni mmoja wa madereva ambao wanatajwa kuwa 
tishio katika mbio hizo ambaye anashiriki kwa mara ya kwanza akitokea 
nchini Kenya.
Magari ya Mashindano yakijipanga kwa ajili ya ukaguzi wa mwisho .
Gurjit Dhan Dereva anayepewa nafasi kubwa ya kufanya vyema katika mashindano hayo.
Dereva Larry Horn anaingia katika mashindano hayo akiwa na gari aina ya Porche.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni