Waziri
Mkuu, Kasim Majaliwa akimsalimia Pedelia Erenius na mwanwe Alia James(
miezi saba) wakati alipotembelea wodi ya wanawake na watoto katika
hospitali ya mkoa wa Kagera mjini Bukoba Machi 15, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na madaktari na waguzi wa hospitali
ya mkoa wa Kagera hospitalini hapo mjini Bukoba Machi 15, 2016.
Baadhi
ya Madaktari na Wauguzi wa Hospitali ya mkoa wa Kagera wakimsikiliza
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakti alipozungumza nao hospitalini hapo
mjini Bukoba Machi 15, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni