Ndege ya abiria ya Misri imelazimika
kwenda kutua nchini Cyprus baada ya kutekwa na mwanaume mmoja
aliyevaa vesti ya mabomu.
Ndege hiyo ya EgyptAir aina ya MS181
ilikuwa ikitoka Alexandria kwenda Cairo ilipoomba kutua kwa dharura
uwanja wa ndege wa Larnaca nchini Cyprus ikiwa na abiria 62.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni