Mkurugenzi
 Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Godfrey Simbeye 
akizungumza katika uzinduzi wa mfumo mpya wa habari uliobuniwa na 
taasisi hiyo kuwasaidia  wafanyabishara wadogo na wa kati kupata taarifa
 muhimu, ujuzi na huduma  za maendeleo ya biashara ulioendana na mkutano
 mkuu wa kumi na sita (16) wa Taasisi hiyo na uliofanyika jijini Dar es 
Salaam.
Mwenyekiti
 wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) na mwenyekiti  mtendaji wa 
IPP LTD Dkt. Reginald Mengi akizungumza katika uzinduzi wa mfumo mpya wa
 habari uliobuniwa na taasisi hiyo kuwasaidia  wafanyabishara wadogo na 
wa kati kupata taarifa muhimu, ujuzi na huduma  za maendeleo ya biashara
 ulioendana na mkutano mkuu wa kumi na sita (16) wa Taasisi hiyo na 
uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Wanachama
  wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), wakifuatilia uzinduzi wa 
 mfumo mpya wa habari uliobuniwa na taasisi hiyo kuwasaidia  
wafanyabishara wadogo na wa kati kupata taarifa muhimu, ujuzi na huduma 
 za maendeleo ya biashara ulioendana na mkutano mkuu wa Taasisi hiyo na 
uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Waziri
 wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akizungumza katika 
uzinduzi wa  mfumo mpya wa habari uliobuniwa na taasisi hiyo kuwasaidia 
  wafanyabishara wadogo na wa kati kupata taarifa muhimu, ujuzi na 
huduma   za maendeleo ya biashara ulioendana na mkutano mkuu wa Taasisi 
hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Waziri
 wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akizungumza mara 
baada ya kuzindua mfumo mpya wa habari uliobuniwa na taasisi hiyo 
kuwasaidia   wafanyabishara wadogo na wa kati kupata taarifa muhimu, 
ujuzi na huduma   za maendeleo ya biashara ulioendana na mkutano mkuu wa
 Taasisi hiyo na uliofanyika jijini Dar es Salaam.







Hakuna maoni:
Chapisha Maoni