Kwa mara ya kwanza March 13, 2016 Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Vicent Mashinji ameonekana rasmi kwa wakazi wa Mwanza kwenye uwanja wa furahisha, viongozi wa kitaifa wa Chadema pamoja na baadhi ya Wabunge kutoka Chadema walikuwepo kuushuhudia utambulisho rasmi wa Katibu Mkuu wao kwa wananchi. ripota wamillardayo.com kazipata picha kwenye huo utambulisho karibu kuzitazama.
Mwenyekiti Chadema Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Vicent Mashinji
Aliyekuwa mgombea Urais Edward Lowassa
Kutoka kulia Makamu Mwenyekiti Chadema Zanzibar Said Issa Mohamed, Mh Edward Lowassa na Tundu Lissu
Mbunge wa Mikumi Joseph Haule
Mbunge wa Bunda Ester Bulaya
Katibu Mkuu wa Chadema Vicent Mashinji na Ezekia Wenje
Godbless Lema Mbunge wa Arusha mjini
Joseph Mbilinyi Mbunge wa Mbeya mjini, kwenye Burudani
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari
Mh Mbowe na Ezekia Wenje
Mh Edward Lowassa, Akazungumza na wakazi wa Mwanza
Joseph Haule ( Prof. Jay), akasema na watu wake kwa Burudani
Viongozi wa Chadema Kitaifa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni