MTUHUMIWA PEKEE WA MASHAMBULIZI YA UBELGIJI AACHIWA HURU

Mtuhumiwa mmoja Faycal C, ambaye ndiye mtu pekee aliyekamatwa kwa kuhusishwa na mashambulizi ya mabomu Jijini Brussels ameachiwa huru kwa kukosa ushahidi.

Vyombo vya Ubelgiji vimemtaja mtuhumiwa huyo Faycal Cheffou, ambaye ni mtu wa watatu aliyeonekana kwenye picha za CCTV uwanja wa ndege na watu waliojilipua.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni