WAZIRI MKUU MH. MAJALIWA AWAPONGEZA LULU NA RICHIE KWA KUTWAA TUZO NCHINI NIGERIA

lu1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kupokea tuzo za wasanii wa filamu nchini walizoshinda nchini Nigeria. Wasanii hao ni Elizabeth Michael na Single Mtambalike. Shughuli hiyo ilifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 11, 2016. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
lu2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Wasanii wa filamu Elizabeth Michael na Single Mtambalike baada ya kupokea tuzo za wasanii hao walizoshinda nchini Nigeria. Tukio hilo lilifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
lu4
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea Tuzo kutoka kwa Msanii wa filamu Elizabeth Michael ambayo msanii huyo alishinda nchini Nigearia. Tukio hilo lilifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
lu5
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akipokea tuzo kutoka kwa msanii wa filamu, Single Mtambalike ambayo msanii huyo alishinda nchini Nigeria. Tukio hilo lilifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni