Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea
Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kutoka kwa Mkaguzi na Mdhibiti
Mkuu wa Hesabu za Serikali Professa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es
salaam leo Machi 28, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu
wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa
wakipitia Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali iliyokabidhiwa na
Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali Professa Mussa Assad
Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu
wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa
wakiwa na watendaji wakuu wa Ofisi ya Mdhibiti na Mkafuzi Mkuu wa
hesabu za serikali baada ya kukabidhiwa Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za
Serikali kutoka kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali
Professa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016.
PICHA NA IKULU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni