Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mwenyekiti wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Said Salim
Bakhresa mara baada ya kuwasili katika kiwanda cha kusindika Matunda cha
Bakhresa kilichopo Mwandege mkoani Pwani
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata
maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mahusiano wa Kundi la Makampuni ya
Bakhresa Hussein Sufian Ally kuhusiana na hatua mbalimbali za usindikaji
wa matunda katika kiwanda hicho kilichopo Mwandege mkoani Pwani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mwenyekiti wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Said Salim Bakhresa
wakiangalia mojawapo za hatua za usindikaji wa matunda aina ya maembe
katika kiwanda hicho kilichopo Mwandege mkoani Pwani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
vitendea kazi vya maabara katika kiwanda hicho cha usindikaji wa Matunda
cha Bakhresa Mwandege mkoani Pwani
Mwenyekiti
wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Said Salim Bakhresa wakwanza (kulia)
akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli mara baada ya ufunguzi wa kiwanda hicho cha usindikaji wa
matunda Mwandege mkoani Pwani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mwenyekiti wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Said Salim Bakhresa
wakwanza (kulia), Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo, Mbunge
wa Mkuranga Abdallah Ulega wakivuta kamba kwa pamoja kuashiria ufunguzi
rasmi wa kiwanda cha kusindika Matunda cha Bakhresa Mwandege mkoani
Pwani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata
maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mahusiano wa Kundi la Makampuni ya
Bakhresa Hussein Sufian Ally kuhusiana na hatua mbalimbali za usindikaji
wa matunda katika kiwanda hicho kilichopo Mwandege mkoani Pwani
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia
mkono wafanyakazi Kundi la Makampuni ya Bakhresa kabla ya kuzungumza
nao, kulia kwake ni Mwenyekiti wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Said
Salim Bakhresa
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wafanyakazi Kundi la Makampuni ya Bakhresa mara baada ya kufungua
rasmi kiwanda cha Usindikaji wa Matunda cha Bakhresa kilichopo Mwandege
mkoani Pwani.





Hakuna maoni:
Chapisha Maoni