MAKAMU WA RAIS AKAGUA MABANDA KWENYE MKUTANO WA MAMLAKA YA MANUNUZI(PPRA)JIJINI ARUSHA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk Mohamed Gharib Bilal akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la maonesho la Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nchini(SSRA)  baada ya kufungua kongamano la Mamlaka ya Ununuzi ya Umma(PPRA)jijini Arusha leo,kulia ni Afisa Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma,Sarah Kibonde.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk Mohamed Gharib Bilal (kushoto)akimsikiliza Afisa Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka hiyo  Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nchini(SSRA)   ,Sarah Kibonde wakati akimweleza utendaji kazi wa Mamlaka hiyo  baada ya kufungua kongamano la Mamlaka ya Ununuzi ya Umma(PPRA)jijini Arusha .

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk Mohamed Gharib Bilal (kushoto)akipokea zawadi kutoka kwa  Afisa Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nchini(SSRA) ,Sarah Kibonde.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk Mohamed Gharib Bilal (kushoto)akizungumza wa wafanyakazi wa UTT Asset Management and Investor Services PLC,  Afisa Mafunzo,Hilda Lyimo(katikati) na  Afisa Masoko na Mahusiano kwa Umma,Rahim Mwanga

Makamu wa Rais akifurahia jambo

Makamu wa Rais,Dk Mohamed Gharib Bilal akimsikiliza Mratibu wa Biashara Kanda ya Kaskazini wa Shirika la Simu nchini(TTCL)Thomas Lemunge(kulia)alipotembelea banda  kuona utendaji wa shirikan hilo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni