LOWASSA ACHANJA MBUGA,JANA ATIKISA RUVUMA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akihutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Songea Mjini, kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Matarawe, Songea Mjini, Mkoani Ruvuma  Septemba 1, 2015. Picha na Othman Michuzi, Ruvuma.

Maelfu ya wakazi wa Songea wajitokeza kumsikiliza Mgimbea wa Chadema, Edward Lowassa.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Matarawe, Songea Mjini, Mkoani Ruvuma  Septemba 1, 2015, ambako kumefanyika Mkutano wa Kampeni zake anazoendelea nazo kwa nchi nzima. Mh. Lowassa amepata mapokezi makubwa sana mkoani hapo, akitokea Mkoa wa Njombe.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni