Mkurungenzi Mtendaji wa Chama cha waandishi wa habari wanawake (TAMWA)
Edda Sanga akizungumza na wananchi juu ya uzinduzi wa ilani ya
uchaguzi ya mtandao wa wanawake na katiba na uchumi jijini Dar es
Salaam.
Mkurungenzi Mtendaji wa Chama cha waandishi wa habari wanawake (TAMWA) Edda Sanga akizidua ilani ya uchaguzi ya mtandao wa wanawake na katiba na uchumi jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji wa TGNP, Lilian Liundi (katikati) akiwa na wanawake
walioshika mabango ya ujumbe mbalimbali katika uzinduzi wa ilani ya
uchaguzi ya mtandao wa wanawake na katiba na uchumi jijini Dar es
Salaam.
Mgombea
uraisi kupitia chama cha ACT Wazalendo, Anna Ng’hwira akishangiliwa na
wanawake walifika katika uziduzi huo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji wa TGNP, Lilian Liundi akizungumza na waandishi wa habari juu
ya wanawake wapiga kura wakatae kuuza haki zao kwa kurubuniwa na vyama,
viongozi au watu wenye uchu wa madaraka na tabia ya kuzalilisha wapiga
kura wao jijini Dar es Salaam.
Mjumbe
wa serikali ya kijiji cha Nainokanoka Arusha akizungumza na waandishi
wa habari juu ya matumizi ya lugha ya kashfa hasa zenye kudhalilisha
wagombea wa kike wenye ulemavu na changamoto nyingine.
Sehemu ya wananchi walihudhulia uzinduzi huo Jiji Dar es Salaam( Picha na Emmanuel Massaka)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni