( Picha kutoka maktaba )
Mgombea ubunge wa jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema ), Mh Jafary Michael ametangazwa kuwa ndiye mshindi wa kiti hicho baada ya kuwashinda wapinzani wenzake kwa mbali.
Akitangaza matokeo hayo muda mfupi, Kaimu Mkurugenzi wa manispaa ya Moshi Mjini, Jeshi Lupembe, amesema Mh Jafary Michael
amechaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Moshi mjini baada ya kupata jumla
ya kura 51,646 huku mpinzani wake wa karibu Davis Mosha ( CCM ) akipata
kura 26,920.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni