Zaidi ya watu 150 wamekufa wengi wao
wakiwa ni nchini Pakistan baada ya tetemeko lenye kipimo cha alama
7.5 kulikumba eneo la kaskazini mashariki mwa Afghanistan.
Mtetemeko wa tetemeko hilo pia
umefikia kaskazini mwa nchi za India na Tajikistan.
Watu wapatao 12 waliokufa ni
wanafunzi wa kike nchini Afghanistan walioangukiwa na jengo
wakijaribu kutoka nje ya jengo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni