Mwanafunzi Kelvin wa shule ya Mariado akiimba wimbo Umoja wa Afrika(AU)ambao ni maalumu wakati wa shughuli za umoja huo zinapofanyika. |
Kamishna wa Tume ya Haki Binadamu na Utawala Bora,Zanzibar ,Mohamed Khamis Hamad akizungumza katika maadhimisho hayo. |
Wanafunzi wa Shule ya Mchepuo wa kiingereza ya St.Jude ya Jijini Arusha wakiigiza athari za watoto wa kike kukeketwa. |
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni