Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika foleni akisuburi zamu yake ya
kupiga kura katika kituo cha hospitali ya kijiji cha Msoga kata ya
Msoga wilayani Bagamoyo Oktoba 25, 2015.
Ofisa
katika kituo cha kupigia kura katika kituo cha hospitali ya kijiji cha
Msoga akihakiki kadi ya kupiga kura ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.
Ofisa katika kitu cha kupiga kura akimkabidhi Rais Kikwete karatasi za kupiga kura.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiandika kura yake ya siri.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura ya Rais Mbunge na Diwani katika
kituo cha kupiga kura cha hospitali ya kijiji cha Msoga,Kata ya Msoga
wilayani Bagamoyo Oktoba 25, 2015.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwekwa wino na msimamizi wa kituo unaotambulisha kuwa amepiga kura. (Picha na Freddy Maro)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni