Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akitumbukiza kura baada ya kupiga katika
kituo cha Ofisi ya Afisa Mtendaji Kata ya Mtanda Halmashauri ya Manispaa
ya Lindi Mjini.
Mama Salma Kikwete akisubiri kadi inayokaguliwa na msimamizi wa Kituo alichojiandikisha na hatimaye kupiga kura katika Ofisi ya Afisa Mtendaji Kata ya Mtanda Halmashauri ya Manispaa ya Lindi Mjini.
Mama Salma Kikwete akisubiri kadi inayokaguliwa na msimamizi wa Kituo alichojiandikisha na hatimaye kupiga kura katika Ofisi ya Afisa Mtendaji Kata ya Mtanda Halmashauri ya Manispaa ya Lindi Mjini.
Mama Salma akisubiri moja ya fomu za kuchagua Rais,Wabunge na Madiwani
Msimamizi wa kituo akiangalia picha ya Mama Salma katika dafutari la wapigakura
Mama Salma akiweka tiki kumchagua kiongozi BORA.
Mama Salma akitumbukiza karatasi ya kura ya Diwani.
Mama Salma akitumbukiza karatasi ya kura ya Mbunge.
Mama Salma akiwekwa vino na msimamizi wa kituo unaotambulisha kuwa amepiga kura.
Mama Salma akiwatakia kila la heri wananchi wanaotarajia kupiga kura kituoni hapo
Wananchi wakiwa katika mstari tayari kuelekea kupiga kura.
Wananchi wakiwa katika mstari tayari kuelekea kupiga kura.
Mama Salma akiagana na baadhi ya wananchi Uwanja wa Ndege wa Kikwetu Lindi.
Mama Salma akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Jordan Rugimbana.
Mama
Salma akipanda Ndege na kuwapungia mkono Maofisa waliopo Uwanja wa
Ndege Kikwetu Lindi tayari kuelekea Dar es Salaam baada ya kupiga kura.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni