Said
Ndemla akiwatoka wachezaji wa Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa
Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar
es Salaam leo ambapo katika mchezoa huo Simba iliibuka na ushindi wa bao
1-0 lililofungwa na Hamis Kiiza. (Picha na Francis Dande)
Peter Mwalyanzi wa Simba akienda chini.
Timu zikiingia uwanjani.
Timu za Coastal union na Simba zikiingia uwanjani.
Kikosi cha Simba.
Benchi la ufundi la Simba.
Benchi la ufundi la Coastal Union
Kikosi cha Coastal Union.
Wachezaji wa Simba
wakishangilia bao pekee lililofungwa na mshambuliaji wa timu hiyo, Hamis Kiiza (katikati)
dhidi ya Coastal Union ya Tanga wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara
uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni