Wanannchi wakihakiki majina yao katika kituo chao cha kupigia kura.
Jaji
S.K. Mutungi akipata maelekezo jinsi ya kukunja karatasi za kupigia
kura kutoka kwa Bw. Franco Mololo Mwakabuta ambaye ni msimamizi Mkuu wa
Kituo namba 2 cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Bunge.
Jaji Mutungi akiwa kwenye chumba cha kupiga kura.
Msajili
wa Vyama vya Siasa Mhe. Jaji S.K. Mutungi akipiga kura kwa ajili ya
kuchagua viongozi wa ngazi za ubunge na udiwani katika kituo cha kupigia
kura cha shule ya Msingi Bunge mapema Asubuhi Leo Octoba 2015.
Bw. Themistocles Justinian ambaye ni Msiamamizi Msaidizi
wa Kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Bunge akiweka alama
katika kidole cha Jaji Mutungi kushiria tayari amekwisha kupiga kura.
Baadhi ya wananchi wakihakiki majina yao kwa ajili ya kupiga kura
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni